Kiswahili | Swahili
- Napaswa kufanya nini ili kuhakikisha napata uchunguzi unaofaa zaidi kwa magojwa za zinaa?
- Je, dawa za HIV au PrEP zitaleta migogoro kwa homoni za kijinsia?
- Ni mara ngapi wanao virusi vya ukimwi watachunguzwa uzito wa chembechembe kwenye damu?
- Ni nini haswa kufeli ugudulizi = kufeli kuambukiza (U=U)?
- Je, naweza kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na ngono ya kinywa?
- HIV ni nini haswa?
- Je, daktari wangu anastahili kujua mwelekeo wangu wa kijinsia?
- Ni Mara ngapi napaswa kupimwa virusi vya ukimwi/magonjwa ya zinaa?
- Ni wapi nitaweza kupata kipimo cha virusi vya ukimwi/magojwa ya zinaa?
- Je, ni nini maana ya kufeli ugudulizi?