HIV inamaanisha upungufu wa kinga mwilini. Virusi vya ukimwi hufanya uzoefu wa kinga mwilini basi unapata unafifia kiafya. Wakati hivi virusi vinavyoenea, zinasababisha AIDS.
Habari nzuri ni kwamba kunazo tiba fanisi zinazosaidia kinga mwilini kuwa imara. Unapoanza kunywa dawa mapema na kufuata maangizo, HIV inaweza kumakinika. Tumepiga na tunaendelea kupiga hatua dhabiti katika uangamizaji wa HIV. Leo hii, ata waliombukizwa virusi vya ukimwi wamaweza ishi maisha sawa na wale ambao hawana, iwepo wataendelea kunywa dawa na kufuata maangizo.
Tazama hii video yenye muda wa dakika moja kutoka Greater Than AIDS ndio upate kujua zaidi. (Ambatanisha na lugha chanzo ya kiingereza)