Iwepo mtu anatumia dawa dhabiti jinsi anavyopaswa, basi virusi vya ukimwi zitaweza kukundamizwa. Ata ingewepo atafanyiwa kipimo cha damu ili kuchunguza kuwepo kwa virusi vya ukimwi, bado matokeo yatahasi.
Sayansi imedhibiti ya kwamba mtu anaye virusi vya ukimwi na ingewepo uchunguzi una hasi, huyo binadamu yuko na afya zaidi. Pia hawezi sambazia mwingine hizo virusi. Yaani kama ugudulizi unafeli = usambazaji unafeli pia. (U=U)
Ugudulizi utazidi kufeli iwepo mtu ataendelea kufuata maagizo katika matibabu.
Kufeli Ugudulizi haina maana ya kwamba mtu ametibiwa kutokana na virusi vya ukimwi, La, lakini ni njia moja yenye ufanisi zaidi katika kupambana na usambazaji wa virusi.
Wengineo ambao wana hivi virusi vya ukimwi wanakosa chembechembe zinaotosha kufanyiwa Ugudulizi. Hivyo basi , wanaweza shiriki kimapenzi kwa kutumia mipira na PrEP ili kujikinga.
Kwa maelezo zaidi , tembelea The Body au tovuti hili www.uequalsu.org (Ambatanisha na lugha chanzo ya kiingereza)