Jibu la swala hili litalingana na aina ya ngono unayoshiriki. Dakatari atakupima kuchunguza virusi vya ukimwi, atapima damu kuchunguza kisonono na pia atapima mkojo kuchunguza magojwa ya zinaa katika sehemu zako siri. Iwepo unashiriki ngono kupitia mdomoni, hakikisha daktari amebusha kinywani kuchunguza magojwa ya zinaa, pia kwenye kundu iwepo unashiriki ngono ya kundu.
Ni muhimu kupimwa Hepatitis B angalau mara moja na pia Hepatitis C iwepo una virusi vya ukimwi.
Tazama hili video lenye urefu wa dakika moja katika mtandao wa Greater Than AIDS ndio upate kujua mengi zaidi. (Ambatanisha na lugha chanzo ya kiingereza)